Romans 6:6-7

6 aKwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye ili ule mwili wa dhambi upate kuangamizwa, nasi tusiendelee kuwa tena watumwa wa dhambi. 7 bKwa maana mtu yeyote aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.

Copyright information for SwhKC